• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Tabora Vijijini
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC ATOA SIKU 38 VETA KUKAMILISHA UJENZI WA CHUO CHA UYUI NA IGUNGA

Posted on: December 24th, 2020

MKUU wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati ametoa siku 38 kwa uongozi wa Mamlaka ya Elimu na Ufundi (VETA)  kukamilisha ujenzi wa miradi miwili ya vyuo vya Igunga na Uyui ili ianze kutoa mafunzo kwa wakazi wa maeneo hayo.

Miradi hiyo inajengwa kwa niaba ya VETA na Chuo cha Ufundi Stadi Tabora kwa upande wa Wilaya ya Uyui na Chuo cha Ufundi Stadi Shinyanga kinajenga cha Igunga kwa niaba ya VETA imeshindwa kukamilika katika vipindi viwili walivyoongezewa nje ya kile cha awali cha Juni mwaka huu.

Dkt. Sengati alitoa kauli  na baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ya Vyuo vya Ufundi Stadi Uyui na Igunga na kukuta kazi bado haijakamilika licha muda waliongezewa kubaki siku chache.

 

Alisema awali  ujenzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi Uyui na Igunga vinavyojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.5 kwa kila kimoja ukamilikea Juni baadae wakaongezewa hadi Agosti na baada ya hapo wakaongeza hadi Desemba mwaka huu na bado dalili haionyeshia kama watakamisha mwisho mwa mwezi huu.Dkt. Sengati alisema ifikapo tarehe ya 31 Januari hapo mwakani ni lazima ujenzi wa vyuo vyote uwe umekakamilika kwa asilimia mia moja na vianze kudahili wanachuo.

Alisema hakuna sababu ya uongozi wa Vyuo vyote vilivyopewa jukumu la kusimamia ujenzi kuchelewesha kwa kuwa walishapewa fedha na Serikali na vifaa vinavyohitajika vipo.

Mkuu huyo wa Mkoa alisema sababu za kuchelewa kwa miradi ikiwemo kudai mvua na kufuata kokoto mbali hazina nguvu wanachotakiwa ni kuchapakazi usiku na mchana ili miradi ikamike hapo Januari mwakani.

Alisema lengo ni kutaka watoto waliomaliza elimu ya msingi na kukosa fursa ya kuendelea na masomo ya Sekondari waweze kudahiliwa vyuo hapo kwa ajili ya kusoma fani mbalimbali za ufundi ambazo zitawasaidia kushiriki vema katika ujenzi wa Taifa.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa aliwataka Mafundi wanaoshiriki ujenzi wa Vyuo hivyo kutoa fursa za ajira kwa vijana waliopo karibu na maeneo ya  miradi  ili mzunguko wa fedha kwa wakazi hao uwe mkubwa.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA )Kanda ya Magharibi Wilhard Soko alimweleza Mkuu wa Mkoa wa Tabora watajitahidi kuwasimamia vyuo vya Tabora na Shinyanga ili vikamilishe miradi yote miwili kama waliahidi kukamilisha Mwezi Januari mwakani.

Alisema baada ya kukamilika ujenzi hatua zinafuata za ununuzi wa vifaa ufanyike na waweze kudahili wanachuo kwa ajili ya kuanza masomo.

Matangazo

  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Fomu ya Kujiunga Kidato cha kwanza, 2021 kwa shule za Mkoa wa Tabora December 16, 2020
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 November 23, 2020
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • EWURA YATOA MILIONI 9.9 KWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA TABORA ZITAKAZOTUMIKA KUTENGENEZA DAWATI 247

    February 23, 2021
  • CDF MABEYO ASISITIZA USHIRIKANO KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA

    February 16, 2021
  • MAKUNGU AELEZA FURSA LUKUKI ZA UWEKEZAJI MKOANI TABORA

    January 22, 2021
  • ISAWIMA YAKABIDHIWA KWA TAWA ILI KUDHIBITI UHARIBIFU

    January 25, 2021
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa