• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Tabora Vijijini
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

JAFO AAGIZA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTENGA MAENEO YA UJENZI WA VIWANJA VYA MICHEZO VYA KISASA

Posted on: May 20th, 2019

JAFO AAGIZA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTENGA MAENEO YA UJENZI WA VIWANJA VYA MICHEZO  VYA KISASA

OFISI ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR TAMISEMI) imewaagiza Wakuu wa Mikoa , Makatibu wa Mikoa, Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zote kuhakikisha wanabainisha maeneo makubwa ambayo yanaweza kujengwa viwanja wa michezo vyenye hadhi ya kimataifa.

Kauli hiyo imetolewa jana na Waziri wa Nchi katika Ofisi  ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR TAMISEMI) Selemani Jafo katika hotuba yake iliyosomwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Copa Cola cola UMISETA mkoani Tabora.

Alisema hatua hiyo inalenga kukuza michezo mbalimbali hapa nchini na kuongeza ajira kwa vijana.

Jafo alisema sanjari na utengaji wa maeneo ya ujenzi wa viwanja aliaagiza maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya michezo  na burudani wahakikishe yasibadishwe matumizi na kuvamiwa.

Aidha Waziri huyo aliwaagiza  Wakuu wa Mikoa , Makatibu wa Mikoa, Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri kuhakikisha vipindi vya masomo ya michezo na masomo mengine ya burudani shukeni yafundishwa kwa nadharia na vitendo ili kuwajenga wanafunzi kuwa katika ari ya kukabiliana vema katika ushindani.

Aliongeza kuwa wanapaswa pia kuhakikisha kuwa kila Shule ina viwanja vya michezo vyenye vipimo sahihi vinavyotakiwa na kusimamia Sheria ya Elimu inayotaka Shule inaposajiliwa lazima iwe na eneo la viwanja vya michezo.

Jafo pia aliagiza kuwa Shule zilizoteuliwa kuwa na mchepuo wa michezo ziimarishwe na walimu wake wasihamishwe.

Katika hatua nyingine Waziri Jafo amewataka viongozi mbalimbali wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanatekeleza agizo la Mheshimiwa Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan la kuhimiza mchakamchaka kwa wanafunzi na wananchi kufanya mazoezi kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.

 

MWISHO

Matangazo

  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Fomu ya Kujiunga Kidato cha kwanza, 2021 kwa shule za Mkoa wa Tabora December 16, 2020
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 November 23, 2020
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MIFUKO 462 YA MBOLEA YA TUMBAKU YA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MILAMBO ILIYOKUWA IMEPOTEA IMEPATIKANA

    December 30, 2020
  • RC AWATAKA WALIMU WAKUU KUJENGA UMOJA KWA WALIMU WALIOCHINI YAO

    December 30, 2020
  • POLISI WANASA WATUHUMIWA 683 MKOANI TABORA WA MAKOSA MBALIMBALI NDANI YA WIKI TATU

    December 30, 2020
  • RC ATOA SIKU 38 VETA KUKAMILISHA UJENZI WA CHUO CHA UYUI NA IGUNGA

    December 24, 2020
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa