JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
TAARIFA ZA FEDHA NA BAJETI
 
Taarifa za f edha [ Bajeti ] [ Nyumbani ] au
 
 

MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA):

 

Katika kipindi cha nusu mwaka (Julai– Desemba 2009/2010) Mkoa ulipewa lengo la kukusanya Tshs.3,590,000,000/= Hadi Desemba 2009 tuliweza kukusanya jumla ya Tshs.2,488,651,651,491/= hivyo utendaji kufikia 97%.

Pamoja na kutovuka lengo kwa nusu ya mwaka huu wa fedha, makusanyo ya kodi yamekuwa kwa asilimia 19% ikilinganisha na makusanyo ya mwaka 2008/2009 ikilinganishwa vipindi hivyo viwili.

 

 
 
Taarifa ya fedha na matumizi mradi wa kukarabati ofisi ya mkuu wa wilaya ( Word)
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Taarifa za fedha [ Bajeti ] [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, S.L.P. 25, TABORA. TEL: 026 - 2604058/2604116, FAX: 026-2604274