JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
     
 
 
Ardhi < Mada [ Upimaji ] [ Ramani ] [ Nyumbani ] au
 
 
 

 

CHANGAMOTO:

•  Utekelezaji wa shughuli za Sekta hii ikiwa ni pamoja na utatuzi wa migogoro ya Ardhi unakabiliwa na uhaba mkubwa wa wataalam wa fani mbalimbali za Sekta ya Ardhi katika Halmashauri uhaba upo katika fani za Mipango Miji, Upimaji Ardhi, Usimamizi wa Ardhi, Uthamini na Uchoraji wa Ramani.

•  Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi inatayarishwa kwa kasi ndogo mno kutokana na uhaba wa fedha za kutekeleza shughuli hiyo.

 

MIKAKATI YA KUKABILI CHANGAMOTO:

Mkoa umekwisha bainisha upungufu wa wataalam wa Sekta ya Ardhi katika Halmashauri zote na hatua za kuajiri wataalam husika zinaendelea japo ni kwa kasi ndogo.

•  Mkoa unaendelea kuwaelimisha na kuwashawishi wananchi kuibua miradi kwa kuandaa Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi watakayoshiriki kupanga na kutekeleza kwa kuwezeshwa na wataalam.

B
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
 
 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 
 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
Ardhi < Mada [ Upimaji ] [ Ramani ] [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, S.L.P. 25, TABORA. TEL: 026 - 2604058/2604116, FAX: 026-2604274