JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA    
 
 .: Muundo wa Kiutawala
 .: About us & Contacts
 .: Mission & Dira
 .: Miradi & Programu
 .: Fedha & Bajeti - Taarifa
 .: Nyaraka Mbalimbali
 .: Mipango
 .: Takwimu
 .: Kilimo na Mifugo
 .: Maliasili na Mazingira
 .: Elimu
 .: Afya
 .: Maji
 .: Ushirika
 .: Biashara
 .: Barabara na Majengo
 .: Ardhi, Upimaji & Ramani
 .: Jamii, Jinsia & Watoto
 .: Taarifa za Mkaguzi
 .: Kazi
 .: Sheria
 .: Serikali za Mitaa
 .: FAQs & Forums
 .: Daftari la wageni &Maoni
.: Teknohama (ICT)
.: Tovuti nyingine muhimu
     
Mkoa wa Tabora upo sehemu ya katikati ya ukanda wa magharibi wa nchi. Eneo lake ni kilomita za mraba 75,264 na upo kati ya latitudo 4 o na 7 o Kusini na longitudo 31 o na 34 o mashariki. Mkoa unapakana na Mkoa wa Shinyanga kwa upande wa kaskazini, Mkoa wa Singida upande wa Mashariki, Mkoa wa Mbeya upande wa Kusini, Mkoa wa Rukwa upande wa kusini-magharibi na Mkoa wa Kigoma upande wa magharibi.

  Bonyeza hapa kusoma zaidi ...  
     
Mkoa umegawanyika katika kanda za misitu, vichaka, mbuga za malisho na mabonde. Mkoa una aina tofauti za udongo na muinuko wa kati ya meta 1,100 na 1,300 juu ya usawa wa bahari.

Mkoa umegawanyika katika Kanda tatu (3) za hali ya hewa na mazingira kama ifuatavyo:-

i. Kanda yenye mvua za kutosha, mm 800 – 1300. Maeneo ya Kanda hii ni Wilaya za Sikonge, Urambo, Tabora (isipokuwa Kata za Kizengi na Igalula) na Nzega (Kata za Mambali na Bukene) ambapo udongo wake ni wenye kichanga na tifutifu (sandy loams).

ii. Kanda yenye mvua za wastani, mm 500 – 800. Maeneo ya Kanda hii ni Wilaya za Nzega, Uyui na Igunga (baadhi ya Kata). Udongo wake ni wa kichanga na tifutifu (sand–clay loams).

iii. Kanda yenye mvua kidogo, chini ya mm 500. Sehemu kubwa ya maeneo haya inapatikana katika Wilaya za Nzega na Igunga.

  Bonyeza hapa kusoma zaidi juu ya habari hii ...  
 
  Ziara ya Mh. Rais Jakaya Kikwete.  
  ..........................................................  
  Warsha ya Viongozi na Watendaji wa Serikali za Mitaa  
  ..........................................................  
  Matokeo ya mitihani kidato cha sita 2007  
 
..........................................................
 
  Fursa za uwekezaji mkoa wa Kilimanjaro  
  ..........................................................  
  Katibu Tawala wa Mkoa ahimiza elimu ya njia bora za kilimo.  
  ...........................................................  
  Katibu Tawala wa Mkoa ahimiza elimu ya njia bora za kilimo.  
  ...........................................................  
  Matokeo ya mitihani kidato cha nne 2007  
     
..................................................

HABARI NYINGINE  
     
Nafasi za Kazi / Ajira  
  .....................................................  
Zabuni na Minada  
  .....................................................  
V V U / UKIMWI  
  .....................................................  
Mafunzo ya Ujasiriamali  
  .....................................................  
Ugonjwa wa migomba  
  .....................................................  
Mipaka ktk Hifadhi za Misitu  
  .....................................................  
Chanjo ya Ukoma  
  .....................................................  
Warsha ya uwekezaji  
  .....................................................  
Mapato ya Mkoa yapanda  
     
Mafunzo ya Uhifadhi wa Ndizi
 
Serikali za Mitaa

Mkoa unazo Halmashauri za Wilaya 5 na Manispaa 1. Halmashauri hizo ni Igunga, Nzega, Uyui, Urambo, Sikonge na Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.

  ....................................................................................  
  Bonyeza hapa kusoma habari zaidi  
     
Kikao cha 14 cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC)
 
Kikao cha kumi na nne cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa kilichofanyika tarehe 10 April 2007 katika ukumbi wa Uhuru Hostel. Taarifa na michango mbalimbali ilitolewa.
 
  ....................................................................................  
  Bonyeza hapa kusoma habari zaidi  
  ENEO BINAFSI      
Wiki ya Maji Mkoa waKilimanjaro
 
Kikao cha kumi na nne cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa kilichofanyika tarehe 10 April 2007 katika ukumbi wa Uhuru Hostel. Taarifa na michango mbalimbali ilitolewa.
 
  ....................................................................................  
  Bonyeza hapa kusoma habari zaidi  
 
  Matukio Yajayo :  
 
Mbio za Mwenge Mkoani Tar. 02/12/2010
Warsha ya Ujasiriamali Tar. 12 /08/200710
Kikao cha kwanza cha RCC Tar. 12/08/2010
Ziara ya Makamu wa Rais Tar. 15/08-20/08/200710
Mkutano wa Wakuu wa Wilaya Tar. 02/04-18/03/2010
  ............................................................................................................
  Kwa matukio yajayo zaidi Bonyeza hapa kusoma zaidi  
       
Web Mail
Maoni
Online Training / class
Mafaili na Ujumbe
Mijadala
 
Hotuba za Mkuu wa Mkoa  
Hotuba za Katibu Tawala (M)  
   
    ........................................................  
  Fursa za uwekezaji & Vivutio  
    ......................................................  
  Mashirika, Taasisi & NGO's  
    ......................................................  
  Mahoteli & Nyumba za kulala wageni  
    ......................................................  
  Hospitali, Vituo vya afya na zahanati  
       
  Huduma za Jamii  
       
  Utalii  
    ........................................................  
  Maelezo mengine...  
       
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, S.L.P. 25, TABORA. TEL: 026 - 2604058/2604116, FAX: 026-2604274